• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI NCHINI

Posted on: September 11th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe. Amir Mkalipa ameahidi kufikisha changamoto ya nyongeza ya mshahara kwa  watumishi ambao tayari wameisha fikia ukomo wa vyeo kwa mamlaka husika ili ziendelee kufanyiwa kazi kwa lengo la kuboresha maslahi ya wafanyakazi wote.

Amesema hayo leo terehe 11 septemba, 2025 kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Kamati ya wanawake THTU Taifa 2025 ulioandaliwa na Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU).

Sambamba na hayo amempongeza balozi Getrude Mongella kwa mchango wake wa kusimamia harakati na mafanikio  ya wanawake duniani kupitia mkutano wa Beijing.

"Niungane na nyie kumpongeza na kumshukuru mwanamke shupavu aliyeshiriki katika mapambano ya mafanikio kwa wanawake na pia tumepokea salamu zake kwenye mkutano huu" Amesema Mhe. Mkalipa.

Naye, Mwenyekiti wa THTU Taifa Dkt. Paul Loisulie amefafanua kuwa ni utaratibu wa chama hicho kukutanisha majukwaa katika nyakati tofauti ili kutoa fursa kwa kila kundi kupata nafasi ya kutathmini kazi zao kama chama cha wafanyakazi na kwamba lipo Jukwaa la vijana ambalo limekutana Morogoro kwa mwaka huu.

"Pamoja na majukumu mengine tunaketi pamoja kama wafanyakazi na kujadiliana dhana ya vyama vya wafanyakazi kama vyombo vya kushauri kwani vimekua havieleweki kwa walio wengi hususani kwa waajiri ambapo siku za nyuma walidhani chama kipo kwa ajili ya kufanya harakati", amesema.

"Mwanamke akiwa na maarifa anakua na uwezo, ushawishi na ari ya kushiriki katika shughuli za uzalishaji mali na hata kujiusisha na siasa kwa kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi Mkuu na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi." Amesema Bi. Roselyne Massam wakati akitoa risala kwa niaba ya washiriki.

Akisoma risala Mratibu msaidizi wa kamati ya wanawake THTU Bi. ameiomba serikali kutazama muongozo wa nyongeza ya mshahara kwa watumishi ambao tayari wameisha fikia ukomo wa vyeo na mshara.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MTANDA AKABIDHI MAGARI YA BILIONI 1.3 KWA JESHI LA POLISI

    September 12, 2025
  • SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI NCHINI

    September 11, 2025
  • MAJALIWA AAGIZA KUIMARISHWA ZAIDI SEKTA YA UFUATILIAJI, TATHMINI NCHINI

    September 11, 2025
  • NSSF WAFANYA ZIARA YA UWEKEZAJI MWANZA

    September 10, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.