• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

TAG MWANZA HAIMTAMBUI MTUHUMIWA WA MAUAJI ERNEST MASANJA

Posted on: July 22nd, 2024

TAG MWANZA HAIMTAMBUI MTUHUMIWA WA MAUAJI ERNEST MASANJA


Askofu wa Kanisa la Tanzania Asembles of God (TAG) Jimbo la Mwanza Kusini Mhe. Isack Gwalalika amesema kanisa hilo halihusiki na tuhuma za mauaji zinazomhusu John Ernest Masanja anayetuhumiwa kumuua Majuto Mabula Seif na kisha kujitambulisha kama Mchungaji wa Kanisa hilo

Ametoa tamko hilo mapema leo Julai 22, 2024 kwenye kanisa na TAG lililopo maeneo ya Nyegezi Kona wakati akizungumza na waandishi wa Habari kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na kanisa hilo mahususi kwa ajili ya kutoa tamko hilo.

Askofu Gwalalika amesema kanisa hilo limeona taarifa zilizotolewa na Jeshi la Polisi mapema (Julai 5, 2024) kuwa mtuhumiwa huyo amejitambulisha kuwa ni mchungaji wa kanisa la TAG ikiwa siyo sahihi hivyo wametumia wasaa huo kumtaka mtuhumiwa kutojitambulisha hivyo tena kwakua kanisa hilo halimtambui.

Aidha, ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuwa watuhumiwa wengine hutoa taarifa za uongo hivyo kabla ya kuzitangaza kwa umma wanatakiwa wajiridhishe kwani kutofanya hivyo kunapelekea mkanganyiko kama huo ambao umesababisha taharuki kwenye kanisa hilo.

Ameongeza kuwa kanisa hilo (TAG) lenye washirika 193,741 nchini huku likiwa na majimbo matatu Mkoani Mwanza huku likiwa na makanisa 131 na washirika zaidi ya elfu 13 linatambua weledi wa jeshi la polisi na wataendelea kushirikiana nao katika kujenga Taifa.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.