Viongozi wa UMMA mkoani wa Mwanza wametakiwa kujaza fomu zao za tamko la Rasilimali na Madeni kwa ukweli na ufasaha zaidi.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella katika Hotuba yake aliwaasa hao wafanye kazi kwa weledi na uadilifu mkubwa pia wawe mfano kwa walio chini yao.
Hata hivyo amewataka viongozi hao kuzingatia sheria ya maadili ya viongozi wa Umma namba 13 ya mwaka 1995 katika kutekeleza majukumu yao.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.