• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Wafanyabiashara Wadogo Makoroboi Waliounguliwa bidhaa zao watoa neno

Posted on: March 11th, 2020


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akiwa ameambatana na Mwenyeji wake  mkuu wilaya Nyamagana Dkt. Philis Nyimbi,  ametembelea eneo la Makoroboi lililoungua Moto hivi Karibuni na kuteketeza bidhaa za wafanyabiashara wadogo.

Mhe. Mongella akiwa eneo hilo la Makoroboi amejionea  shughuli za biashara na uchuuzi zikiendelea Kama kawaida, na kusisitiza matumizi mazuri ya uunganishaji wa umeme unaozingatia utalaamu ili kujinusuru na majanga ya Moto.

Mhe.Mongella yupo Wilayani Nyamagana kwa ziara ya siku mbili ambayo imehudhuriwa na Uongozi wa CCM wilaya ya Nyamagana ukiongozwa na Katibu Wilaya Kavenga, ujumbe wa Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo la Nyamagana, Naibu Meya  wa halmashauri ya Jiji la Mwanza Mhe. Kotecha pamoja na kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 05, 2021
  • Tangazo kuhusu uhamisho wa ndani na nje ya Mkoa wa Mwanza. January 05, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA MWANZA MWAKA 2021 February 05, 2021
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali Mkoa wa Mwanza December 13, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC Gabriel atoa Pikipiki 13 kwa RUWASA na vyombo vinavyotoa huduma za maji Mwanza

    June 29, 2022
  • Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba yatoa dawa Zahanati ya Gereza la Butimba Mwanza

    June 29, 2022
  • Wataalam wa Afya Halmashauri za Mwanza watakiwa kuongeza bidii ya kazi ili kuiboresha Sekta hiyo

    June 29, 2022
  • RC Mwanza azitaka Halmashauri kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    June 28, 2022
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA

    S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.