• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Waziri wa Maji Aweso awapa Rai Viongozi wa Mwanza

Posted on: July 22nd, 2022


Mhe. Jumaa Aweso (MB) Waziri wa Maji leo Julai 22, 2022 ametoa Shime kwa watumishi Mkoani Mwanza kushikamana kwa pamoja ili kuuletea maendeleo Mkoa huo na kukataa kuwapa kazi wakandarasi wasiofaa Miradi ya Maji.

Mhe Aweso ametoa wito huo akiwa ziarani Mkoani humo kukagua Miradi wa Maji wakati akiwasalimia Viongozi kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa waliokutana na Wadau wa Elimu kuweka Mikakati ya kufanikisha Kampeni Kubwa ya Ujenzi wa Miundombinu wa Vyumba vya Madarasa kwa shule za Msingi na Sekondari inayotarajiwa kuanza mapema wiki ijayo.

"WanaMwanza ngoja niwape sifa ya Mhe. Mkuu wa Mkoa huyu, anapenda Maendeleo na kama wanamwanza mnataka Maendeleo basi ni lazima mkubali kushikamana kwa pamoja Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wenyeviti wa Halmashauri na Watumishi wote kwa ujumla kwani gari likikwama kwenye matope mnashirikiana kulisukuma kwa pamoja na mnachafuka wote katika kuliondoa."

Kuhusu Wakandarasi kwenye Miradi ya Maji, Aweso amesema, "Wakandarasi wasiofanya kazi vizuri kwa historia yao na wale wenye maneno mengi na vitendo vichache msiwape kazi kwani ili watu wapate huduma ya maji Safi na Salama ni lazima tuwe na wakandarasi wazuri kwenye miradi yetu."

Katika wakati mwingine, Mhe Aweso ametoa Mifuko 200 ya Saruji kwa ajili ya kuunga mkono Kampeni kubwa ya Mkoa wa Mwanza ya Ujenzi wa Miundombinu ya Vyumba vya Madarasa katika kuhakikisha wanafunzi kwenye shule za Msingi na Sekondari wana soma kwenye madarasa bila kusongamana.


Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.