Posted on: March 28th, 2024
Matukio katika picha yakionesha watu mbalimbali wakishiriki Futari iliyoandaliwa na Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Balandya Elikana katika mgahawa wa Hasfu Jijini Mwanza 28 Machi, 2024.
...
Posted on: March 28th, 2024
TEKNOLOJIA YA MRADI WA ZAIDI YA PAMBA USAMBAE NCHI NZIMA: WAZIRI BASHE
Mradi wa Zaidi ya Pamba (BEYOND COTTON) uliokuwa ukifadhiliwa na Serikali ya Brazil umefungwa rasmi leo mkoani Mwanza...