-
May 06
-
May 05
-
May 02
-
May 01
-
Apr 30
-
Apr 28
-
Apr 27
-
Apr 26
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,Ngusa Samike amefunga wiki ya Huduma za Maabara Mkoani humo kwa kutoa wito kwa vijana kusomea masomo ya Sayansi ili waweze kupata fursa ya kujiajiri na kuajiriwa.
soma zaidiKatibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amezitaka Halmashauri zote Mkoani humo kutenga viwanja vya kutosha kwa ajili ya kuendeleza soka la Wanawake. Aidha, Samike amesema hayo
soma zaidi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel, amewaagiza wanasayansi wa Maabara za afya mkoani humo kuongeza usimamizi wa ubora wa vipimo mbalimbali katika maabara zote za serikali n
soma zaidiSerikali ya awamu ya Sita imepongezwa kwa kuendelea kuwa sikivu na kuyafanyia kazi maslahi ya Wafanyakazi licha ya kuwa na changamoto za Uchumi ulioutikisa Ulimwengu hivi sasa.
soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel ameagiza Halmashauri ya Ilemela kuandaa mazingira yenye mvuto zaidi ya Uwekezaji maeneo Kayenze ili kukuza Uchumi wa Mkoa wa Mwanza.
soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mhe Mhandisi Robert Gabriel amewahimiza Wakazi wa Mkoa huo kutumia kikamilifu Wiki ya Huduma za Maabara zitakazo fanyika viwanja vya Furahisha kuanzia Mei 2 hadi 6 mwaka huu, il
soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel amesema kuanzia Aprili 27 2022 Kikundi cha watu wachache Wamachinga waliovamia maeneo ya katikati ya Jiji warejee waliopangiwa tofauti na hapo
soma zaidi
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.