Posted on: August 6th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amepongeza walimu, wanafunzi, wazazi pamoja na wadau wote wa elimu kwa jitihada zao zilizochangia kupanda kwa kiwango cha ufaulu mkoani humo.
Mhe. Mtanda ame...
Posted on: August 5th, 2025
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dkt. Jesca Lebba, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza leo tarehe Agosti 5, 2025, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Watoto Wachanga ...
Posted on: August 3rd, 2025
Mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashimu Komba amewataka wananchi wa mikoa ya kanda ya ziwa kujitokeza kwa wingi kwa lengo la kujifunza na kupata mbinu mbalimbali za kilimo, ufungaji, uvuvi na biashara ka...