Posted on: April 9th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Pasaka na kuwakumbusha wananchi kuendelea kumtanguliza Mungu kwa kusali na kuliombea Taifa letu...
Posted on: April 7th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima anawatakia Ijumaa Kuu njema na kutoa ujumbe tutumie mateso ya Yesu Kristu kujenga upendo na kusameheana...
Posted on: April 3rd, 2023
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana ameahidi upatikanaji wa wingi wa Ng'ombe bora watakaokidhi mahitaji ya Viwanda vya nyama kwa masoko ya nje na ndani.
Akizungumza kw...