Posted on: May 9th, 2022
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amezitaka Halmashauri zote Mkoani humo kukamilisha Miradi yote ya Vituo vya Afya na mfumo wa upokeaji na ugawaji wa dawa uwe sahihi.
Katibu...
Posted on: May 7th, 2022
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewataka Wananchi kuendelea kuwa na Imani na Serikali ya awamu ya Sita inayosimamia Miradi yote nchini ambayo itakamilika kwa wakati.
Akizungumza Mkoan...
Posted on: May 6th, 2022
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,Ngusa Samike amefunga wiki ya Huduma za Maabara Mkoani humo kwa kutoa wito kwa vijana kusomea masomo ya Sayansi ili waweze kupata fursa ya kujiajiri na kuajiriwa....