Posted on: April 30th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel ameagiza Halmashauri ya Ilemela kuandaa mazingira yenye mvuto zaidi ya Uwekezaji maeneo Kayenze ili kukuza Uchumi wa Mkoa wa Mwanza.
...
Posted on: April 28th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mhe Mhandisi Robert Gabriel amewahimiza Wakazi wa Mkoa huo kutumia kikamilifu Wiki ya Huduma za Maabara zitakazo fanyika viwanja vya Furahisha kuanzia Mei 2 hadi 6 mwaka huu, il...
Posted on: April 27th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel amesema kuanzia Aprili 27 2022 Kikundi cha watu wachache Wamachinga waliovamia maeneo ya katikati ya Jiji warejee waliopangiwa tofauti na hapo ...