Posted on: May 1st, 2020
Wakati tunasheherekea sikukuu ya wafanyakazi duniani kote,tuendelee kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya ili kujikinga na ugonjwa wa corona....
Posted on: April 29th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe John Mongella amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza,kuhakikisha jengo jipya la wagonjwa wa nje(OPD)la hospitali ya halmashau...
Posted on: April 20th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amepokea Kemikali bashilifu lita 92.226 aina ya Ethyl Alcohol kutoka kwa Mhakiki mali Mkoa wa mwanza Bw.Colman Shayo ili zitumike katika kutengeneza vitakasa m...