Posted on: September 10th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amekabidhi pikipiki 18 zenye thamani ya takribani Tshs.54,000,000/= zilizotolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa ajili ya Maafisa Elimu Kata 18 waliomo...
Posted on: September 7th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Magufuli ametoa salamu za pole kwa waandishi wa habari mkoani hapa hususani waliopata ajali katika Kijiji cha Kasuguti wilayani Bunda...
Posted on: August 31st, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli jumatatu atashuhudia utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli za MV.Victoria na MV.Butiama.
Hafla ...