Posted on: September 25th, 2018
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mwasiliano Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe amesema zoezi la uopoaji wa miili ambayo itakua imenasa na kugeuza kivuko na kukitoa majini bado linaendelea likiongozwa n...
Posted on: September 24th, 2018
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza tume ya kuchunguza ajali ya kivuko cha MV Nyerere yenye wajumbe saba ambayo itaongozwa na Jenerali mstaafu, George Waitara.
Akitangaza majina h...
Posted on: September 23rd, 2018
Maandalizi ya kuihifadhi miili ya watanzania 209 ambao wamepoteza maisha kutokana kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere huko Ukerewe yameanza mchana wa leo. Tayari makaburi kadhaa yameshachimbwa huku baadh...