Posted on: August 9th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Dtk. Philis Mishack Nyimbi ameahidi kutoa millioni 200 kwa wafanya biashara wadogo wadogo ili waweze kujiongezea mitaji na kuendelea kuchangia uchumi wa nc...
Posted on: August 8th, 2018
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi kavu(SUMATRA) imefanya mkutano kati yao na wamiliki wa magari pamoja na madereva wa magari katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, kwa ajiri y...
Posted on: August 7th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amekabidhi vitabu 38,891 vya darasa la nne kwa shule zote za msingi Wilayani Ukerewe.
Akiongea katika makabidhiano hayo Mhe.Mongella amesema Ofisi ya Rais T...