Posted on: July 26th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella ameongea na wanahabari kuutarifu umma wa wananchi wa Mkoa wa Mwanza kuhusu mapokezi ya Ndege Mpya na ya kisasa ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ...
Posted on: July 24th, 2018
Waziri wa Nishati Mhe.DKt.Medard Kalemani (Mb) amefanya Ziara mkoa wa Mwanza na kuzindua mradi wa umeme vijijini awamu ya tatu katika vijiji vya wilaya ya Magu.
Akiwa wilayani Magu Mhe.Dkt. Kaleman...