Start Date: 2021-07-21
End Date: 2021-07-21
Katika kuimarisha Huduma za Maji Jijini Mwanza Serikari kupitia Mamlaka ya Maji na Usafi wa mazingira MWAUWASA wametekeleza Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Zaidi ya Billion 69 Unaotarajia kuzalisha lita Millioni 48 kwa siku.