• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo katika Sekta za Umma

Start Date: 2016-03-09
End Date: 2020-03-09


  • Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma unatekelezwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI kwa kushirikiana na Kampuni Binafsi ya Kimarekani inayojulikana kwa jina la Abt Associates Inc ambayo makao yake makuu kwa hapa Tanzania yapo Dar es Salaaam. Mradi huu unafadhiliwa na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) kwa ufadhili wa Dola za Kimarekani Milioni 62. Mradi huu utatekelezwa katika Halmashauri 93 zilizopo katika Mikoa 13 ya  Mwanza, Mara, Kagera,Shinyanga, Kigoma, Dodoma, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa, Lindi na Mtwara.


  • Lengo la mradi huu ni kuisaidia Serikali ya Tanzania kuimarisha Mifumo katika Sekta za Umma na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kutoa mwongozo juu ya uimarishaji wa Mpango Mkakati, Uboreshaji na Utekelezaji wa huduma za kijamii kama vile Afya, Elimu, Kilimo n.k.



  • Mradi huu unatekelezwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wafuatao;-
    • Benjamin Mkapa Foundation (BMF)
    • Chuo cha Serikali za Serikali za Mitaa (LGTI)- Hombolo
    • Taasisi ya Ushauri (TMA)
    • Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Idara ya Uchumi
    • Intra Health
    • Broad Brand Association
    • Urban Institute

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 05, 2021
  • Tangazo kuhusu uhamisho wa ndani na nje ya Mkoa wa Mwanza. January 05, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA MWANZA MWAKA 2021 February 05, 2021
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali Mkoa wa Mwanza December 13, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC Mwanza azindua msimu wa manunuzi zao la Pamba 2022/2023,atangaza bei elekezi Shilingi 1560

    May 20, 2022
  • RAS Mwanza afanya ukaguzi Sekta ya Afya Wilayani Ukerewe,ahimiza umakini kazini

    May 18, 2022
  • RC-MWANZA Azindua Chanjo ya Matone ya Polio Ukerewe

    May 18, 2022
  • Mkuu wa Mkoa Mwanza azikumbusha Familia kuzingatia wajibu wa Malezi kwa watoto

    May 15, 2022
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA

    S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.