• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Mafanikio ya Mkoa wa Mwanza katika Picha

  • Maabara ya kisasa katika hospitali ya wilaya ya Ukerewe (Nansio), Mkoa wa Mwanza katika picha.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua maabara ya Kisasa katika hospitali ya wilaya ya Ukerewe (Nansio), Mkoa wa Mwanza.

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, akikagua ujenzi wa Soko la Kisasa (Shopping Mall) Wilayani Ilemela, Mkoa wa Mwanza.

    Soko la Kisasa (Shopping Mall) linalojengwa Wilayani Ilemela, Mkoa wa Mwanza katika picha.

    Mchoro wa Soko la Kisasa (Shopping Mall) linalojengwa Wilayani Ilemela, Mkoa wa Mwanza katika picha.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Kituo Kikuu cha Polisi Ngudu, Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza.

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo akimkabidhi Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza mashine nne (4) za kufyatulia matofali ambazo zitakabidhiwa kwa vikundi lengwa vya vijana ikiwa ni moja ya mikakati ya kuwainua vijana kiuchumi Mkoani Mwanza.

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo akishiriki kwenye upandaji wa mpunga kwenye skimu ya umwagiliaji ya Mahiga, Wilayani Kwimba, Mkoa wa Mwanza.

    Skimu ya umwagiliaji maji Mahiga, Wilayani Kwimba Mkoa wa Mwanza, katika picha.

    Mojawapo ya powertiller zilizotolewa na serikali ya awamu ya nne katika kurahisha shughuli za kilimo katika skimu ya umwagiliaji Mahiga Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa kufua umeme wa Megawati 60 eneo la Nyakato, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza.

    Uboreshaji wa Viwanja vya mpira, Uwanja wa Nyamagana baada yakuwekewa Nyasi Bandia

    Jengo la Rock Mall. mara baada yakukamilika

    Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

    Mradi mkubwa maji wa Mjini Nansio Ukerewe

    Daraja la Furahisha, kukamilika kwake kutaepusha Ajali za mara kwa mara.

    Mvuvi akiwa amembeba samaki aina ya Sangara katika Mwalo wa kayenze, Sangara amekuwa tegemeo la Uchumi wa Mkoa.

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella akiwa Ofisini kwake.

    Muonekano wa Mzunguko wa Kipita Shoto cha Kumbukumbu ya Mashujaa mjini Mwanza

    Wafanyakazi katika Mkoa wa Mwanza wakiimba wimbo wa mshikamano.

    Muonekano wa Mpangilio na Vitengo na Idara za Mkoa wa Mwanza.

    Alipofika kujua kinacho endelea wakati wa mafunzo ya maafisa habari na TEHAMA, huko Mwanza

    Bw. Atley Kuni, Afisa Habari Mwanza, akisema neno wakati wa mafunzo ya Maafisa habari na Maafisa TEHAMA Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, akikagua Daftari la Wakulima wa Pamba katika Wilaya Sengerema, kulia anayetoa maelekezo ni Afisa Kilimo wa Wilaya hiyo,

    Maongezi baina ya Balozi wa Korea Nchini na Naibu Waziri wa Ardhi, wakiongea Ofisini kwake hivi karibuni.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.