Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel amesema, katika mwaka wa fedha wa 2021/2022 Mkoa wa Mwanza umepokea kiasi cha zaidi ya bilioni 3.2 (3,213,430,392.23), kwa ajili ya utekelezaji wa miradi 40 ikiwemo ya ujenzi wa Miundombinu ya elimu, Afya na Ajira ya muda.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel amepokea Vituo vya Afya vitano kutoka Wilaya ya Magu vyenye thamani ya Shilingi zaidi ya Milioni 950 ambavyo vimekamilika na vimeanza kutoa huduma kwa wananchi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.