Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akikabidhi pikipiki 18 kwa Maafisa Elimu Kata wa Wilaya ya Nyamagana.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akihamasisha wananchi wa kata ya Igalula iliyopo Wilaya Wilaya ya Sengerema kuchangia ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa ambavyo waliishaanza ujenzi wake.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akihimiza wananchi wa Mwamashimba kuchangia shughuli za maendeleo na ujenzi wa zahanati.
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.