Sikukuu ya Sabasaba
Posted on 11 February 2026Ni sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa chama cha TANU 7.7.1954.Siku ambayo watanzania huwa katika mapumziko ya kazi na kwenda kuona au kununua bidhaa zinazopatikana nchini kwa kuwa hapo biashara nyingi huenda katika maonyesho mbalimbali, ni siku muhimu kwa wafanyabiashara kwani watu wengi huenda huko na kujionea vitu vipya vilivyoletwa na elimu kuhusu bidhaaa mbalimbali hutolewa.