• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

BILIONI 7.2 KUJENGA MABWENI TIA KAMPASI YA MWANZA

Posted on: October 17th, 2024

BILIONI 7.2 KUJENGA MABWENI TIA KAMPASI YA MWANZA


Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Johari Samizi amewataka wananchi wa Mtaa wa Nyanghomango kulinda miundombinu ya mabweni ya wanafunzi katika taasisi ya uhasibu Tanzania tawi la Mwanza.

Amezungumza hayo leo Oktoba 17, 2024 wakati wa hafla ya kukabidhiana hati za ujenzi wa mabweni mawili baina ya kampuni ya Wakandarasi wa CAIEC na  Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wenye thamani ya Shilingi Bilioni 7.2 yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 306 wa kike pamoja na kiume.

Vile vile Mhe. Samizi ameishukuru serikali kwa kuunufaisha Mkoa wa Mwanza kwa miradi ya elimu huku akiwataka wakandarasi kutengeneza fursa za ajira kwa wananchi wa karibu na eneo la mradi.

"Tunafahamu hizi kazi zinahitaji taaluma lakini zile kazi ambazo hazina ujuzi tuwaangalie watu wa eneo hili ili hizi pesa zinazopatikana katika mradi huu ziweze kuwanufaisha nawao". Amesema Mhe. Samizi.

Naye, Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa. William Pallangyo amemtaka mkandarasi anaesimamia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi kuhakikisha mradi unakamilika ndani ya miezi 18 ya mkataba huku akiwaahidi ushirikiano wa kutosha katika kukamilisha ujenzi huo.

"Tutahakikisha tunawalipa ndani ya muda na tutahakikisha tunawapa ushirikiano wa kutosha ili kuhakikisha mradi unaaga dunia". Amesema Prof. Pallangyo.

Msaidizi wa Mkurugenzi  wa Kampuni ya CAIEC  inayotekeleza mradi huo Ndg. George Moses  amesema kampuni yao itakamilisha mradi kwa wakati na wananchi wanaoishi karibu na mradi watanufaika na fursa zitakazojitikeza katika mradi huo.

Mradi huo wa ujenzi wa mabweni unatekelezwa na fedha za mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB).

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti