• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

“ Elimu ya Kilimo cha Kisasa itolewe kwa Wananchi”- Mwanjelwa

Posted on: August 4th, 2018


Naibu waziri wa kilimo Mhe. Dkt Mary Mwanjelwa amezindua maonesho ya wakulima (nanenane) katika kanda ya ziwa magharibi inayojumuisha Mwanza,Geita,Kagera katika viwanja cha  Nyamongolo, ambapo maonyesho hayo yamehudhururiwa na wadau wapatao 330 wakubwa, wa kati 80, wadogo 250 na Mamlaka za Serikali za Mitaa 12.

Mhe. Dkt.Mwanjelwa amesema kuwa wadau hao wanajumuisha Taasisi za Umma,Taasisi za Utafiti, Taasisi za Elimu, Taasisi za Fedha, Makampuni ya Zana za kilimo na Pembejeo, Bodi mbalimbali za Mazao, Wakulima na Wafugaji,wasindikaji wa mazao mbalimbali, makampuni ya mawasiliano, na makampuni ya vinywaji.

Aidha kaulimbiu ya mwaka huu inasema kuwa“Wekeza katika kilimo,Mifugo na Uvuvi kwa maendeleo ya viwanda” hivyo Mhe. Mwanjelwa amesisitiza kwa  wah.Wakuu wa wilaya pamoja na Maafisa Ugani kufanya kazi ya kutoa elimu kwa wananchi ili kukuza maendeleo ya kilimo cha biashara.

“Changamkieni fursa ya kilimo kwani  ni maisha, kilimo kinasaidia kupunguza umaskini na tutakuza uchumi na biashara hivyo tutaimarisha,tutafufua na kuboresha vyama vya ushirika ili kuweza kuwakomboa wakulima,”alisema Mwanjelwa.

Naye Meneja wa kanda George Upina anayejishughulisha na kilimo cha kisasa amesema kuwa kilimo hiki hakijali msimu na kinazalisha mazao mengi kwa muda mfupi na kinalimwa popote itolewe elimu ili kuinua kilimo cha biashara na kukuza teknolojia katika kilimo.

Hta hivyo Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesema kuwa atatoa vyeti kwa washiriki wote walioshiriki katika sherehe ya nanenane na kuwazawadia washiriki watakao fanya vizuri zaidi siku ya kilele cha maonesho ya sherehe za nanenane tarehe 08.08.2018

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti