• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

FURSA ZA KIUCHUMI ZACHOMOZA KWENYE MDAHALO WA KITAIFA,MWANZA

Posted on: April 16th, 2025

FURSA ZA KIUCHUMI ZACHOMOZA KWENYE MDAHALO WA KITAIFA,MWANZA


Mdahalo wa Kitaifa kuhusu ubia kati ya sekta ya umma na  binafsi umefanyika Jijini Mwanza, ukilenga kuchochea ushirikiano endelevu kwa maendeleo ya kiuchumi kwa ujumla.

Akizungumza katika mdahalo huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi, Chagu Ng'h'oma, Katibu Tawala msaidizi sehemu ya  Miundombinu amesema  Mkoa wa Mwanza ni kitovu muhimu cha uchumi wa Kanda ya Ziwa kutokana na nafasi yake ya kipekee kijiografia na uwepo wa Rasilimali hiyo

"Mwanza ni lango kuu la biashara ndani na nje ya nchi kupitia Ziwa Victoria. tunawakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza katika uchumi wa bluu hasa uvuvi, usafirishaji majini, na utalii wa ziwani pamoja na sekta ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa njia ya vizimba,"

Ameongeza kuwa Serikali ya Mkoa wa Mwanza imeweka mazingira rafiki kwa wawekezaji, ikiwa ni pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara, bandari, na maeneo ya viwanda, ili kuhakikisha miradi ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi inatekelezwa kwa ufanisi.

Akizindua mdahalo unaohusisha makundi mbalimbali ya jamii ikiwemo sekta binafsi na wanahabari kuhusu dira ya Taifa ya maendeleo ya mwaka 2050 jijini Mwanza, Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Stanslaus Nyongo amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ili kila mtanzania kutumia fusra zilizopo.

Kwa upande wake Mkurungenzi Mtendaji wa kituo cha ubia katia ya sekta ya umma na binafsi PPPC David Kafulila amesema kutokana na ufanisi wa ushirikiano kati ya sekta hizo mbili  Serikali inalenga kuongeza uwekezaji katika miradi mbalimbali.

Mdahalo huo umetajwa kuwa jukwaa muhimu la kuibua changamoto, mafanikio na mikakati ya kuendeleza miradi ya maendeleo kupitia ubia huo, huku wito ukitolewa kwa sekta binafsi kuchangamkia fursa zilizopo ndani ya mkoa huo na Tanzania kwa ujumla.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti