• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lapewa Rai kuwa bora na linalokwenda na wakati

Posted on: May 8th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima amesema wanapenda kuona Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani humo  linakua kinara katika utoaji wa huduma ili Mikoa mingine ijifunze kutoka kwao.


Mhe. Malima amesema hayo leo Mei 8 2023 kwenye kikao na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF. John Masunga alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa  na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoani humo katika kumbi za Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.


"Sisi tunatarajia kuwa na uwanja mkubwa na wa kisasa wa ndege hivyo ni matarajio yetu kuwa na huduma bora za kisasa kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji  ili na Mikoa mingine itoke ije ikujifunza kwetu," Amesema Mhe. Malina


Pia Mhe. Malima amemkaribisha Mkuu huyo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji siku atakazokuwa Mwanza atembelee baadhi ya visiwa Ziwani Victoria vilivyo na shughuli za kijamii lakini hazina huduma hiyo, hivyo kuwa katika mazingira hatarishi  endapo litatokea janga la moto.

"Kuna kisiwa cha Ghana hicho kina kila aina ya starehe na wingi wa watu,lakini ikitokea bahati mbaya janga la moto uwezekano wa kuteketea watu na mali zao ni mkubwa,hivyo naamini ukipata wasaa huo utaona namna ya kuja na jibu chanya"Mkuu wa Mkoa.


Aidha CGF. John Masunga amemuahidi Mkuu wa Mkoa Kumletea gari la kisasa la kutoa hiduma hiyo na uwepo wa  kikosi maalumu cha uokoji majini ambacho kwa sasa kipo katika mafunzo.

" Tukuhakikishie kwamba jeshi la polisi  la Mkoa wa Mwanza linafanya kazi kwa ushirikiano  na jeshi la zimamoto  na uokoaji kuhakikisha kwamba tunalinda maisha ya watu,"Amesema RPC. Mutafungwa


Kikao hicho kimewahusisha wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama na Mhe. Dkt. Steven Kiruswa, Naibu waziri wa Madini kama mgeni mwalikwa.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti