• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

"Jiridhisheni na ubora wa miradi na thamani - Ngusa Samike

Posted on: November 12th, 2021

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amefanya ziara Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Akizungumza wakati wa ukaguzi wa miradi alipokuwa katika mradi wa Shule ya Sekondari Walla  akikagua ujenzi wa madarasa 5 amewataka kuongeza kasi ya ujenzi wa miradi hiyo na kuzingatia ubora katika usimamizi.

"Niwatake kuhakikisha mnazingatia ubora na thamani halisi ya miradi wakati wa ujenzi simamieni vizuri fedha za Serikali na zingatieni muda uliopangwa ili kukamilisha kwa wakati," alisema Samike.

Akiwa katika Kata ya Walla kukagua mradi wa ujenzi wa daraja, Samike amewataka wakandarasi kusimamia vizuri ili kukidhi ubora wa mradi.

"Nimerishwa na jinsi ujenzi wa daraja hili unavyoendelea Mkandarasi naomba uendelee na usimamizi mzuri ili daraja hili liwe na ubora na likamilike kwa wakati."

Katika kuhakikisha ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa Shule ya sekondari Bungulwa na vyumba 5 Shule ya Sekondari Ngulla pamoja na  maandalizi ya ujenzi wa Kituo cha Afya Kijiji cha Isunga  Kata ya Bungulwa vinakamilika Samike amewataka wasimamizi wa miradi hiyo kuhakikisha wanapata vifaa kwa wakati na kupanga majengo katika mipangilio sahihi ili kutunza mazingira kwa kupanda miti ya matunda na vivuli.

Hata hivyo,Samike  amefika  Bugunga na kukuta ujenzi wa tanki la maji unaendelea ambapo Mhandisi amewaahidi wananchi kuwa ifikapo Desemba wananchi wa eneo hilo na maeneo ya jirani  watapata maji safi na salama.

" Nitarudi Desemba ili kujiridhisha kama wananchi wa Kata ya Malya kijiji cha Bugunga wanapata maji kama wataalamu walivyotuahidi," alisema Samike.

Aidha, amekamilisha ziara yake kwa kuongeza na watumishi wa Halmashauri hiyo na kuwasikiliza.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti