• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Jumuiya ya Maridhiano Yatoa Tamko Mwanza

Posted on: October 20th, 2020

"Amani ni tunu muhimu ni lazima ilindwe kwa namna yoyote bila amani hakuna mafanikio."

Hayo Yamesemwa na Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Mwanza katika tamko lao lililotolewa  ukumbi wa Mwanza Hotel-kipepeo hii leo.

Akizungumza kwa niaba Jumuiya ya maridhiano Tanzania Mkoa wa Mwanza  katibu Msaidizi Zuhura Mohamed  alisema amani ni tunu muhimu ambayo inapaswa kulindwa kwa namna yeyote .

Alisema  bila amani hakuna mafanikio ,pia aliwakumbusha watanzania kumchagua kiongozi atakaye thamini amani na kuilinda kwa maslahi ya nchi.

Naye Mratibu wa Jumuiya hiyo Askofu Richard Kamara alisema  sote tunawajibika kutunza amani ambayo ina misingi mitatu ambayo ni haki ,upendo na utu ambavyo vinashikamana kujenga misingi ya nchi .

Alisema wagombea wote kwa nafasi yeyote waheshimu misingi ya nchi ili kuleta maendeleo pia watambue sio wagombea wote wanaweza kuwa viongozi jukumu la kila Mtanzania ni kumchagua kiongozi mwenye tija.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Alhaji Sheikh Mussa Kalwanyi  alisema wanashirikiana na vyombo vya usalama na serikali kutatua migogoro ili kunusuru viashiria vya uvujifu vya amani,unyanyasaji katika Jamii .

" Kwa nafasi yetu kama wadau wa amani tuna haja ya kujitokeza pindi viashiria hovu vitakapoonekana ,tumepata fununu na kusikia kuna viashiria vya uvunjifu wa amani kama Mara,Mbeya tukiviacha hivi vikienea katika nchi yetu itakuwa siyo Jambo jema ndio maana tunaanza kulikemea" alieleza Sheikh Kalwanyi.

Naye Rehema Rajabu alisema viongozi wakubaliane na matokeo na wasisababishe vurugu kwani watakaoathiriwa ni wanawake,watoto,wazee hivyo Jambo la muhimu ni kufanya kampeni ya amani kama ilivyo nchi yetu huku wakitambua baada ya uchaguzi maisha yanaendelea.


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti