• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Kamilisheni Miradi ya maji - Aweso

Posted on: May 6th, 2021

Waziri  wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amemtaka Mhandisi Mshauri wa mradi wa tenki la maji la unaogharimu billion 6 Buswelu  Andrew Mwakagenda kujitafakari  baada ya kuongopa wanafanya kazi hadi siku ya jumapili.

Kauli hiyo ameitoa alipotembelea mradi huo na kusema hakuna Kazi inayofanyika jumapili bali kawaleta wafanyakazi ili kuonyesha wanafanya kazi wakati hakuna wanachofanya .

" Hapa hakuna Kazi mnayoifanya kelele ni nyingi sana Mwanza serikali inaleta fedha nyingi ilu kukamilisha miradi itakayo wanufaisha wananchi kazi ifanyike kama hauwezi utatupisha tunapokuja kukagua mradi msituuzie mbuzi kwenye gunia kwa kutuonyesha mnafanya kazi kumbe amna mnachofanya tukiondoka na nyie mnaondoka " alieleza Aweso.

Pia aliiagiza MWAUWASA na RUWASA Mwanza washirikiabe kuhakikisha wanakamilisha mradi wa Igongwe na Kahama kwa wakati ili wananchi wapate maji ,pia kwa washauri wote wa miradi aliwataka kuacha maigizo bali wafanye kazi kwa bidii na kukamilisha miradi yote kwa wakati na watakaposhindwa kujipanga watasaidiwa.

Alisema adhima ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona wananchi wanapata maji safi na salama hiyo ndio Kiu yake hivyo wakandarasi wote watambue hakuna muda wa nyongeza waache janjajanja bali wachape kazi.

Naye Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa MWAUWASA  Mhandisi Leonard Msenyele alisema  katika mradi wa Buswelu ambao utagharimu Billion 6 unatarajiwa kukamilika mwezi  October mwaka huu huku kazi zilizopangwa kufanyika zikiwa ni kulanza bomba la Plastic na chuma kutoka kituo cha kusukuma maji kiseke hadi tanki la Buswelu kilimita 9.51 ambapo wananchi zaidi ya  100,000 watanufaika .

Alisema uzalishaji wa Maji Jijini hapa kupitia mtambo wa kapripoint wanazalisha wastani wa lita million 90 kwa siku huku mahitaji halisi yakiwa ni lita million 150 kwa siku hivyo bado wanakabiliwa na upungufu wa takriban lita million 60 kwa siku

" Ili kuweza kutatua ilo tatizo la upungufu wa lita million 60 serikali inatekeleza ujenzi wa chanzo kingine kipya kilichopo eneo la Butimba Magereza." Alieleza Msenyele.

Naye Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba alisema Wizara itafatilia utekelezaji kwa ukaribu kwani lengo lao kubwa ni miradi ikamilike kwa wakati.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella alisema Mwanza inakabiliwa na changamoto ya maji hiyo inatokana na maendeleo kwenda kwa kasi kubwa.


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti