• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza akagua Miradi ya Maendeleo Nyamagana, atoa Maelekezo

Posted on: November 2nd, 2021

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike akishirikiana na Makatibu Tawala wasaidizi Mkoa leo Novemba 2, wametembelea Halmashauri ya Jiji la Mwanza kukagua miradi Mbalimbali ya Maendeleo  ikiwemo Afya, Maji na Miundombinu.

Akiwa Kata ya Buhongwa Samike amekagua ujenzi wa Kituo cha Afya Bulale na  kuwataka viongozi wa Kituo hicho kuhakikisha eneo lile linaongezwa na kupanga mipangilio ya majengo kabla ya ujenzi ili kuzingatia utunzaji wa mazingira.

"Mpangilio wa majengo kabla ya ujenzi ni muhimu sana siyo unapanda miti leo kutunza mazingira, kabla haijakuwa  unang'oa ili kuanza ujenzi.


Aidha, amewataka TARURA  kuhakikisha ile barabara inayoelekea Kituo cha Afya cha Bulale inatengenezwa ili mazingira yawe rahisi kwa wananchi na wagonjwa wanaofika kituo hicho cha afya.

Baada ya kuondoka Bulale  Samike amekagua bweni la wanafunzi wenye ulemavu Shule ya Msingi Buhongwa na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi huo.

Wakati huo huo, Samike amekagua ujenzi wa mradi wa chanzo cha maji Butimba na kuwataka MWAUWASA kuhakikisha wanawasiliana na Mkoa kila hatua wanapokwama ili kuhakikisha ujenzi unaendelea kwa kazi kubwa.

"Niwatake MWAUWASA wawasiliane na Mkoa ili kuhakikisha ujenzi unaendelea kwa kasi inayotakiwa," alisema Samike.

Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora Samike amekagua ujenzi wa vibanda vya wamachinga eneo la mchafukoga na kukuta ujenzi unaendelea na biashara zinaendelea.

Hata hivyo, Samike amemalizia ziara yake Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kuongea na watumishi wa Halmashauri hiyo na kuwataka waendelee kuwatumikia wananchi kwa upendo na uaminifu mkubwa.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti