• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA KITAIFA KUFANYIKA MKOANI MWANZA

Posted on: June 28th, 2024

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA KITAIFA KUFANYIKA MKOANI MWANZA


Mkuu wa mkoa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Juni 28,2024 ametangaza maadhimisho ya siku ya  kupinga dawa za kulevya Kitaifa kufanyika Mkoani Mwanza katika uwanja wa Nyamagana.

Maadhimisho haya  yanalenga kupinga matumizi ya dawa za kulevya ili kuondokana na athari zake kuathirika kisaikolojia,kimwili ambapo mtu huyo atashindwa kushiriki katika kujenga uchumi wa Taifa na wakwake mwenyewe

“Wananchi ni lazima kutambua jitihada zinazofanywa na Serikali  katika kudhibiti dawa za kulevya ni vyema kutembelea mabanda yaliyoandaliwa uwanjani ili kuweza kupata elimu ya kudhibiti dawa hizo ”amesema Mtanda

Naye kamishina Jenerali wa mamlaka ya kudhibiti dawa za  kulevya nchini Aretas Lyimo amesema  tukio hili ni muhimu hususani kwa taarifa za kudhibiti na kupinga dawa za kulevya ambapo wananchi watapatiwa elimu ili kuweza kujidhibiti kutokutumia dawa hizo

Vilevile Juni 29,2024 kutakuwa na kongamano la kuthibiti matumizi ya dawa za kulevya yatakayofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza.

Kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho hayo ya kupinga na kudhibiti dawa za kulevya  ni “Wekeza kwenye kinga na tiba dhidi ya dawa za kulevya”.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti