• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Maafisa Elimu Kata wapata vitendeakazi Mwanza

Posted on: September 10th, 2018


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amekabidhi pikipiki 18 zenye thamani ya takribani Tshs.54,000,000/= zilizotolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa ajili ya Maafisa Elimu Kata 18 waliomo ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Akitoa hotuba wakati  wa kukabidhi pikipiki  hizo kwa niaba ya mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Kiomoni K. Kibamba,   Kaimu Mkurugenzi   Philipo Kajura  Mukama amesema, ili  kuimarisha usimamizi na matumizi sahihi  ya pikipiki hizi Maafisa  Elimu Kata wanapaswa kuzingatia taratibu walizopewa.

"Mtumiaji wa pikipiki awe na leseni inayomruhusu kutumia chombo  cha moto,itumike ndani ya Kata husika tu na itumiwe na Afisa Elimu Kata na si mtu mwingine,itumike muda na siku za kazi pia zisitumike kubeba mizigo  na abiria,"alisema Mukama.

Naye Mstahiki Meya wa Jiji la  Mwanza Mhe. James Bwire amesisiza kwa wadau wote wa Jijini hapa kuhakikisha wanaiunga mkono Serikali katika juhudi za Maendeleo kwani inafanya kazi kubwa kuhakikisha Elimu inakwenda mbele.

"Vifaa hivi vimetolewa kwa madhumuni maalumu ya kuhakikisha Elimu inasonga mbele hivyo pikipiki hizi  zitumike kwa madhumuni hayo na si vinginevyo, itawaghalimu mkitumia kwa matumizi binafsi,"alisema Bwire.

Hata hivyo,Mhe.Mongella amesisitiza kuwa Serikali ya awamu ya tano imejikita kuimarisha Sekta ya Elimu hivyo kila mwalimu ana wajibu wa msingi wa kuiwezesha Sekta hii izidi kusonga mbele kwa kila mwalimu kutimiza wajibu wake.

"Halmashauri zote 8 za Mkoa zimepata pikipiki hizi za Maafisa Elimu Kata,walimu Mwanza mnafanya kazi nzuri,changamoto zipo kikubwa tuendelee kuahirikiana na Serikali na mifumo yake yote ili kutatua changamoto hizi,"alisema Mongella.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti