• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MAAFISA ELIMU KATA WATAKIWA KUTUMIA TEHAMA KULETA TIJA KITEKNOLOJIA

Posted on: February 24th, 2024

MAAFISA ELIMU KATA WATAKIWA KUTUMIA TEHAMA KULETA TIJA KITEKNOLOJIA


Maafisa Elimu Kata, Waalimu wa shule za Awali, Msingi na Wakuu wa Shule za Sekondari wametakiwa kutumia elimu ya TEHAMA ili kuleta tija katika kipindi hiki cha maendeleo ya Sayansi na Teknolojia.

Rai hiyo imetolewa leo tarehe 24 Februari, 2024 na Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya awali na msingi kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Mwalimu Suzan Nyalubamba wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa watumishi wa Kanda ya Ziwa yaliyofanyika jijini Mwanza.

Nyalubamba amewataka kuhakikisha vifaa vya TEHAMA vinatunzwa ipasavyo na vinatumiwa kwa malengo yaliyo kusudiwa kwani lengo kuu ni kuongeza ubunifu kwa wanafunzi na waalimu ili kuendana na kasi ya Dunia ya sasa.

Ameongeza kuwa kupitia miradi miwili inayofadhiliwa na mkopo wa Benki ya Dunia yaani Sequip kwa Shule za Sekondari na BOOST Shule za Msingi imesaidia kuongeza miundombinu ya  shule ikiwemo madarasa na matundu ya vyoo.

Amebainisha kuwa kwa mwaka wa fedha unaoendelea Serikali inajenga shule 212 za Sekondari na Shule 6 za Kitaifa za Wasichana mpya kabisa na kupitia BOOST

wamenga shule 320 ili kupunguza msongamano wa wanafunzi na kutembea umbali mrefu kufika shuleni.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo, Mwalimu Esther Simba ambaye ni Afisa elimu kata ya Sola amesema kupitia elimu waliyoipata wanakwenda kuongeza kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi na ufanisi makazini kwa kuwajengea uwezo waalimu wengine.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti