• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Maafisa Tarafa Mwanza wakumbushwa kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria na kanuni

Posted on: May 13th, 2023


Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndg. Balandya Elikana amewakumbusha  Maafisa Tarafa Kutekeleza  majukumu yao kwa mujibu wa sheria pia kutambua Fursa zinazopatikana katika maeneo ya kazi zao.

Ndg. Balandya amesema hayo   wakati  akifungua mafunzo ya uongozi kwa Maafisa Tarafa ambayo  yanaongozwa na Maafisa Tarafa wawili waliochaguliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Desemba 16, 2022 kwenda kushiriki Mafunzo hayo jijini Dodoma.

"Ni muhimu sana  tukawatumikie wananchi kwa kutoa huduma bora kama ilivyo ainishwa katika waraka Na.1 wa Mwaka 2017 wa maendeleo ya utumishi   na kuona fursa zinazopatikana katika maeneo yetu kwakuwa sisi Maafisa Tarafa ndio wasimamizi wa mambo yote ya Serikali haswa katika ngazi ya chini ya uongozi,"

" Matarajio yangu ni kwamba mafunzo haya yatawasaidia sana katika kuwajenga kimaadili  kiuzalendo na kuwaandaa kuwa tayari kutoa huduma kwa wananchi tunaowatumikia na kuleta matokeo chanya kwa Serikali ya Mkoa," Amesema Mtendaji huyo wa Mkoa

Naye  Katibu Tawala Msaidizi  Utawala na Rasilimali Watu Daniel Machunda amesema  mafunzo yatakayotolewa kwa Maafisa   hao yanalenga kuwakumbusha wajibu wao katika kazi.


"Mafunzo haya yanayotolewa kwenu yanahusisha mada muhimu ikiwa ni pamoja na masuala ambayo nyinyi kama watumishi wa umma mnapaswa kufanya au hapaswi kufanya kwa mujibu wa sheria na kanuni,"

"Napenda kutumia fursa hii kuwaambia Maafisa Tarafa wote kwa pamoja tunaouwezo wa kufanya maajabu na kufanya Mkoa wetu wa Mwanza ambao ni wa kimkakati kuwa  kinara na Mikoa mingine ikaiga kutoka kwetu  kutokana na utendaji wetu," Amesema. Machunda.

Mafunzo hayo yanalenga kuwawezesha Maafisa Tarafa kufahamu dira, dhima  na malengo Ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pia kufahamu haki, wajibu na majukumu  yao  kama watumishi wa Umma.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti