• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MADARASA MAPYA YAPUNGUZA MSONGAMANO NGUDU SEKONDARI

Posted on: October 11th, 2024

MADARASA MAPYA YAPUNGUZA MSONGAMANO NGUDU SEKONDARI


Wananchi wilayani Kwimba wameishukuru Serikali kwa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya madarasa 10 na ofisi 4 za walimu katika shule ya sekondari Ngudu ambapo wamesema miundombinu hiyo imesaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani.

Hayo yamejiri leo tarehe 11 Oktoba, 2024 wakati mwenge wa uhuru ulipofanya ufunguzi wa miundombinu hiyo chini ya kiongozi ndugu Godfrey Mnzava.

Akiongea baada ya ufunguzi huo, kiongozi huyo amesema Rais samia ameamua kuboresha miundombinu ya elimu nchini ili kuwa na kizazi bora cha sasa na baadaye na akatoa rai kwa wanafunzi kutunza miundombinu hiyo ili iweze kuwasaidia wao na wanafunzi wenzao siku zijazo.

Naye Mkuu wa shule hiyo Mwl. Wilbard Mchele amesema mahitaji ya miundombinu ni madarasa 31 na iliyopo ni 25 na kwamba kumekua na ongezeko kubwa la wanafunzi lililopelekea msongamano darasani hivyo ujenzi wa madarasa hayo umeondoa msongamano darasani.

"Ndugu kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, tunaishukuru serikali kwa kutuletea fedha hizi ambazo pamoja na kupunguza msongamano utasaidia pia kuboresha mazingira ya kufundisha na kujifunzia pamoja na kuongeza ufaulu wa wanafunzi kutokana na kuboresha mazingira." Mwalimu Mchele.

Amefafanua.

Halikadhalika, ndugu Mnzava amefungua mradi wa maji katika kijiji cha Mhulya uliotekelezwa kupitia fedha za serikali kuu (PforR) wenye uwezo wa kuzalisha lita 12,336 kwa gharama ya shilingi milioni 667.1 ambao utawanufaisha wananchi 3,147 wa kijiji hicho.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti