• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Magonjwa yasiyoambukiza yapewa kipaumbele Mwanza

Posted on: November 14th, 2021

Novemba 14, kila Mwaka Nchini hufanyika Maadhimisho ya Siku ya kupambana na magojwa yasiyoambukiza ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa(Mb) baada ya kuzindua 2019  na kutangaza rasmi kuwa wiki ya pili ya mwezi novemba 14 kila mwaka yatakuwa yakifanyika ambapo Kimkoa yamefanyika Manispaa ya Ilemela Mkoa wa Kwanza.

Akizungumza katika viwanja vya CCM Kirumba ambapo maadhimisho hayo yanafanyika mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel amesema magojwa hayo yamekuwa tishio kwa taifa letu hivyo Mkoa unaungana na Mikoa mingine kwa kutoa huduma mbalimbali katika vituo vya tiba.

"Katika kipindi kisichozidi miaka 8 kumekuwa na magojwa yasiyoambukiza kama vile pumu, magojwa ya afya ya akili na yanayotokana na ajali," alisema Mhandisi Gabriel.

"Kwa kila watu 100 wenye umri wa miaka 25 na zaidi 9% wanakisukari 26% wana shinikizo la juu la damu,34% wana  uzito uliopindukia na 25% wana mafuta yaliyozidi kwenye damu,hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanyika mwaka 2012(step Survey) alisema

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe.Hassan Masala amewashukuru wananchi na klabu zote zilizoshiriki katika mbio za wote walioshiriki katika maandalizi ya kuhitimisha siku hiyo.

"Tunafanya mazoezi kwa mwezi mara moja ambapo tunaunganisha club zote na kukimbia km 8 ili kukabiliana na magonjwa ambayo tunaadhimisha mapambano yake leo na nitoe wito kila mmoja aliyefika hapa leo aende akapime magonjwa hayo kwenye mabanda yaliyopo hapa," alisema Mhe.Kasala.

Naye Dkt.Silas Wambura kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi ambao afya zao ni imara wachukulie mazoezi kama sehemu yao ya maisha ili kuepuka na magojwa hayo na wasisahau upimaji wa kike siku wa Afya zao.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti