• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Maonesho ya Nanene mwaka huu Mwanza yaje na matokeo chanya katika kilimo-RAS

Posted on: August 2nd, 2023


Wadau wa Kilimo na wajasiriamali kwa ujumla katika sekta ya hiyo wameaswa kuyatumia maonesho ya Nanenane mwaka huu Mwanza kuja na matokeo chanya kwa kufanya shughuli zao kisasa zaidi na kuwa na tija.

Akizungumza leo maeneo ya Nyamhongolo  mara baada ya kukagua maandalizi ya maonesho hayo yatakayo zinduliwa rasmi kesho,Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu,Ndg. Daniel Machunda aliyemuwakilisha Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza amesema maonesho ya mwaka huu yataambatana na fursa za kuelimishwa namna ya kufanya shughuli kuanzia za Kilimo kwa kisasa zaidi na jinsi ya kukabiliana na changamoto zake.

"Nimefarijika kwanza kwa hamasa ya watu kujitokeza kwa wingi,nimejionea shughuli mbalimbali za wadau na hasa Taasisi za kifedha zilizojitokeza kuonesha huduma zao ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania," amesema Machunda.


"Tupo hapa kwa lengo la kuwajengea uwezo wadau na wananchi kwa ujumla kuhusu huduma zetu na utambuzi sahihi wa fedha zetu hasa kutokana na ulaghai wa fedha bandia uliopo sasa hivi,wapo wataalamu mbalimbali kwenye banda letu watakao toa ufafanuzi mbalimbali,"Issa Pagali,msimamizi banda la BoT

"Tunashukuru tena kupata fursa hii,Serikali yetu imeweka mkakati mzuri wa mageuzi katika kilimo kuanzia ufugaji wa kisasa na wenye tija,nina mifugo yangu ambayo sasa inanipa faida kutokana na maonesho haya ya Nanenane baada ya kukutana na wataalamu walionielimisha," Elizabeth Masatu,mkulima.

Mratibu wa Maonesho hayo Kanda ya Ziwa

Magharibi,Peter Kasele amebainisha maandalizi yote yamekamilika kuanzia maboresho ya mazingira na usalama kwa muda wote wa Maonesho hayo yatakayo zinduliwa rasmi  alhamisi hii na wale walio mbali na Mwanza watayashuhudia mubashara kupitia luninga ya Star Tv.

Maonesho ya Nanenane yanayofanyika kila mwaka Mwezi Agosti yanaandaliwa kwa kushirikisha Mikoa ya Mwanza kama wenyeji pamoja na Geita na Kagera wanaounda Kanda ya ziwa Magharibi.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti