• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Masanduku ya kuchangia UKIMWI yakabidhiwa Mwanza

Posted on: July 27th, 2020

Wadau mbalimbali mkoani Mwanza wakabidhiwa masanduku 10 kwa ajili ya kuchangia mfuko wa udhamini wa kudhibiti ugonjwa wa UKIMWI Tanzania.

Akizungumza wakati akimkabidhi masanduku hayo Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella kwa ajili ya  kuwakabidhi wadau hao Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania ( TACAIDS),Dkt.Leonard Maboko alisema mfuko huo ulianzishwa rasmi mwaka 2015 na hayati Rais Mstaafu Benjamini Mkapa.

Alisema mfuko huo ni marekebisho ya tume ya kudhibiti ugonjwa huo nchini na ni sheria ya mwaka 2001 ambapo ilifanyiwa marekebisho 2015 na kuingizwa uwepo wa mfuko huo hivyo Jambo hilo ni la kisheria ,pia mfuko huo ulianzishwa kwa sababu fedha za wafadhili zimekuwa zikipungua miaka inavyokwenda kunakuwepo na upungufu wa fedha hizo ,hivyo serikali iliona Jambo la msingi ni kuwa na vyanzo vya ndani.

" Tumeondokewa na mwanzilishi wa TACAIDS lakini uwepo wetu Leo hapa ni kutokana na maono yake hivyo huu mfuko ni kwa ajili ya kuwahudumia watanzania pia asilimia 25 za fedha zinatumika kwa ajili ya kuzuia maambukizi mapya" alieleza   Dkt.Maboko.

Naye Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella alisema anawaanini wadau hao kwani wanathibitisha wanania na dhamira ya dhati katika kupambana na vita hiyo ambapo katika maeneo yao wanasera ya kupambana na ugonjwa huo.

Aliongeza kuwa  mapambano hayo yanahitaji ufadhili na kutokutegemea ufadhili wa nje ama wadau wengine ni hatari kwa mapambano,pia utoaji wa elimu kutasaidia kuleta hali mpya tofauti ya mapambano sambamba na kuunga mkono maono ya Raisi Magufuli ya kuamini kwamba tunaweza kufanya mambo mengine wenyewe.

" Huwezi kuwa unapambana na vita ukategemea msaada tu wa marafiki kwani misaada hiyo inaweza kuja ikiwa imeambatanishwa na ajenda zingine na kusababisha vita yao isifanikiwe sana lakini kwenye hili zoezi mtu akiweka mia,mia mbili,au tano kwetu ina maana sana kwa sababu hatukuamka asubuhi tukiwa nayo hiyo kaja kutuwekea"alisema Mhe.Mongella.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti