Mazishi ya Kitaifa yafanyika Sekondari ya Busya
Maandalizi ya kuihifadhi miili ya watanzania 209 ambao wamepoteza maisha kutokana kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere huko Ukerewe yameanza mchana wa leo. Tayari makaburi kadhaa yameshachimbwa huku baadhi ya ndugu wakiwa tayari wameshatambua miili 172 ya ndugu zao.