• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mei Mosi 2022 Yafana Mwanza

Posted on: May 1st, 2022

Serikali ya  awamu ya Sita imepongezwa kwa kuendelea kuwa sikivu na kuyafanyia kazi maslahi ya Wafanyakazi licha ya kuwa na  changamoto za Uchumi ulioutikisa Ulimwengu hivi sasa.

Akizungumza katika Sherehe za Wafanyakazi, Mei Mosi zilizofanyika ki-Mkoa Mkoani Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhe Mhandisi Robert  Gabriel amesema maombi kadhaa waliyotoa Watumishi Mei Mosi ya mwaka Jana iliyofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza yamepatiwa ufumbuzi.

"Tuna kila sababu ya kuipongeza Serikali ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan kwani mbali ya kupunguziwa makato  ya Kodi kutoka asilimia tisa hadi nane pia malimbikizo ya Mishahara,Watumishi kupandishwa madaraja pia Mikopo isiyo na riba ni miongoni mwa hatua zilizotekelezwa ambazo zimeongeza ari ya uwajibikaji" amesema Mhe. Mhandisi Gabriel.

Ameongeza kuwa, Wafanyakazi waendelee kuzingatia nidhamu na utii kazini kwani bado maslahi yao mengine yanaendelea kufanyiwa kazi na yatakuja na majibu chanya wakati utakapowadia.

Aidha, amewakumbusha Waajiri wote Mkoani Mwanza kuzingatia na kutekeleza Sheria za kazi na malipo stahiki yanalipwa kwa wakati hasa Sekta binafsi.

Pamoja na hayo, Mhe Gabriel amewahimiza Wakazi wa Mkoa wa Mwanza kushiriki kikamilifu Sensa ya Watu na Makazi itayofanyika Agosto 23 mwaka huu ili Taifa liweze kutekeleza Mipango ya Maendeleo kikamilifu.

Sherehe za Mei Mosi Kitaifa Mwaka huu zimefanyika Mkoani Dodoma Mgeni Rasmi akiwa ni Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti