Kamati ya ulinzi na Usalama,Wakuu wa Idara, walima shamba la ekari 60 Kwimba
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akinyunyizia dawa ya kuua wadudu kwenye shamba la Wakuu wa Idara ya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo la kilimo cha Pamba, lenye jumla ya hekari 60, wakati akikagua miradi ya Maendeleo kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na Wilaya ya Kwimba.