• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mshindi wa Urithi Festival akabidhiwa zawadi ya gari

Posted on: March 5th, 2020

Mshindi wa jumla wa mashindano ya kwaya katika tamasha la Urithi wetu (Urithi Festival) Kwaya ya Mt. Benedikto ya Bugando Mkoani Mwanza wakabidhiwa zawadi  ya gari aina Toyota Nissan  Suzuri  maarufu kama  kirikuu yenye thamani ya million 30.

Aidha kwaya zilizoingia kwenye mchakato zilikuwa 26 na baada ya mchujo ulioendelea zilibaki kwaya tisa  zilizofika kwenye kilele  jijini Mwanza na kwaya ya Mt.benedikto kuibuka kidedea.

Aliongeza kuwa katika warsha hiyo mshindi wa kwanza alijinyakulia zawadi ya gari, mshindi wa pili ambaye ni kwaya ya Mt.Aloyce Gonzaga  akiondoka na zawadi ya pikipiki huku mshindi wa tatu kwaya ya Mt.Yohana Mwinjili wakipata vyombo vya mziki.



Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hiyo Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala, alisema lengo la kuanzishwa kwa tamasha hilo lililiofanyika Oktoba 31 hadi Novemba 3 mwaka jana   jijini Mwanza,ambapo kwaya hiyo iliibuka mshindi wa jumla wa mashindano hayo yenye lengo la kutambua thamani ya urithi wa mtanzania vikiwemo vyakula mila na desturi .

Alisema tamasha hilo lilianza mwaka 2018  ambapo litakuwa   linafanyika kila mwaka, litasaidia kudumisha na kukumbusha utamaduni,mila,desturi na kuhamasisha uzalendo wa nchi,hivyo aliwahimiza watanzania hususani waimbaji kuhamasisha jamii kwa kutumia nyimbo ili itambue uzalendo na kuelewa uhalisia wao na mali ambazo ni urithi wa taifa.

“Naishukuru Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa  kutimiza ahadi ya Serikali ya kutoa zawadi kwa mshindi wa jumla wa mashindano ya kwaya katika tamasha la urithi wetu lililofanyika jijini hapa,”alisema Dkt. Kigwangala.

Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda,alisema maelekezo ya ushiriki wa kwaya katika tamasha hilo yalitolewa na kuwataka kuandaa nyimbo tatu ambazo ni wimbo wa taifa ambao ni Tanzania nchi yangu nakupenda, wimbo unaohusu utalii na wimbo wowote ambao kwaya itapenda.

Pia alitoa ombi lake kwa Wizara kuwapa nafasi ya upendeleo wakutembelea mbuga za utalii wajionee kwa macho na wasiishie katika kuimba na kuwakumbuka pindi wanapoandaa matamasha mengine.

 

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti