• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mwanza Yaja na Mkakati wa kuzuia na kupambana na Malaria

Posted on: September 17th, 2021

Serikali imekuja na mpango mkakati wa kuzuaia na kupunguza ugonjwa wa malaria nchini,kwa kutoa elimu na hamasa ya kuzuia ugonjwa huo kupitia wataalamu wa afya.

Akizungumza katika  semina ya kuzuia malaria nchini hapa kupitia serikali na wataalamu wa Wizara ya Afya hasa za mikoani,ambayo  imehudhuriwa na  wadau mbalimbali, Katibu Tawala Mkoa  wa Mwanza  Ngusa  Dismas Samike, alisema taratibu za kuzuia ugonjwa huu zianzie shule za msingi kupitia wataalamu wa afya  .

Alisema vituo vya afya vyote nchini viwe na vifaa maalumu vya kutibia malaria hii itasaidia  kupata na kukusanya takwimu sahihi  ambazo zitasaidia nchi  kuja na njia ambazo ni sahihi za kupambana na ugonjwa huu .

Aidha amesisitiza  kuwa serikali itaendelea kufanya kampeni dhidi ya magonjwa nyemelezi  kwajili ya afya za watanzania kwani maendeleo ya kupambana  na kuzuia malaria yanachangiwa na serikali pamoja na shirika la afya duniani ( WHO) hivyo mpango mkakati huu lazima uwafikie watu wote nchini .

"Lengo hasa la mpango mkakati  huu wa ni  kufahamu wapi wamefanya  vizuri na wapi wamefanya vibaya,   namna ya kuzuia na kupambana  nao kwa maeneo maambukizi yalipozidi  ,mpango kazi huu utajikita katika  maeneo mbalimbali ikiwemo Mara, Mwanza, Kagera, Kigoma, na Simiyu ili kuhakikisha ugonjwa huo unapungua kwa asilimia 1 sambamba na kuwafahamu wawekezaji wa mradi huu wa kuzuia malaria ambao ni pamoja na  Global Fund." alieleza.

Aidha katika semina hiyo walieleza   kuonesha  asilimia 30.3 ya wagonjwa waliolazwa kutokana na ugonjwa wa malaria kwa mikoa yote hapa nchini huku   viwango vya maambukizi kuwa asilimia 50 kutoka  14.8 asilimia kwa mwaka 2015. Vilevile viwango vya maabukizi kimikoa ni  Kigoma 24 , Geita  17 , Mara 13, Kagera na  Ruvuma  8 kwa mwaka 2021.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti