• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MWANZA YAPONGEZWA KWA KUFANYA VIZURI SEKTA YA AFYA

Posted on: October 21st, 2024

MWANZA YAPONGEZWA KWA KUFANYA VIZURI SEKTA YA AFYA


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais  (TAMISEMI) anayeshugulikia Afya Dkt Grace Magembe ametembelea na kukagua huduma zinazotolewa na vituo mbalimbali vya Afya Mkoani Mwanza na kupongeza jitihada kubwa zinazofanywa na watumishi wa Afya.

Amebainisha hayo leo tarehe 21/10/2024  katika ziara ya kukagua utekelezaji wa shughuli za ubora wa huduma katika vituo vya Afya vya Kisesa na Buzuruga vilivyopo jijini Mwanza na kubaini utoaji huduma bora.

"Mnahudumia vizuri mnawajali na mnawapenda na huo ndio uwe muelekeo wetu nimefurahi na nimefarijika sana" Dkt Grace Magembe

" Mnavyowaona Wananchi wanakuja Kwa wingi na kuwapongeza huduma zinazotolewa  ujue ni Kwa namna gani Wananchi wanawaamini" Dkt Grace Magembe

Pia ameongeza kuwa tuendelee kutumia kauli nzuri, lugha nzuri na kumuelimisha mwananchi juu ya huduma zetu hayo yanawezekana Kwa kuwa yako ndani ya uwezo wetu na tuyafanye Kwa uaminifu na kiuadilifu.

Aidha Dkt Grace Magembe amemshukuru Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dr Jesca Lebba Kwa usimamizi mzuri wa vituo vya Afya na kupunguza malalamiko kutoka Kwa Wananchi.

Katika ziara hiyo Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshugulikia Afya aliambatana na Wadau kutoa Shirika la Global Fund wanaosaidia Ugonjwa wa kifua kikuu, UkIMWI, Malaria na Mifumo mbalimbali ya Afya.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti