MWENGE WA UHURU KUKIMBIZWA KM 110 MAGU
Leo Agosti 27, 2025 Mwege wa Uhuru umekabidhiwa wilayani Magu ambapo Mkuu wa wilaya hiyo Mhe. Jubileth Lawuo amesema Mwenge wa Uhuru wilayani humo utakimbizwa katika umbali wa kilomita 110 ukiifuata miradi 8 yenye thamani ya Tshs. Bilioni 2.14.





