MWENGE WA UHURU WAANZA MBIO ZAKE KWIMBA
Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mhe. Arch. Ng’wilabuzu Ludigija amepokea Mwenge wa Uhuru leo tarehe 28 Agosti, 2025 ambao utakimbizwa wilayani humo katika Majimbo ya Sumve na Kwimba kwa umbali wa Kilomita 102 ukiifikia Miradi 6 yenye thamani ya Tsha. Bilioni 1.5.




