MWENGE WA UHURU WABISHA HODI WILAYA YA MISUNGWI
Leo Agosti 29, 2025 Mwenge wa Uhuru umewasili wilayani Misungwi ukitokea wilayani Kwimba ambapo Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Johari Samizi amesema Mwenge huo utakimbizwa katika umbali wa kilomita 80.3 na jumla ya miradi 07 yenye thamani ya Tshs. Bilioni 2.569 itatembelewa.



