MWENGE WA UHURU WAKABIDHIWA ILEMELA
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe. Amir Mkalipa ameupokea Mwenge wa Uhuru ukitokea wilayani Nyamagana na amesema ukiwa kwenye Wilaya hiyo utakimbizwa katika umbali wa kilomita 48.5 ukiifuata miradi tisa yenye thamani ya zaidi ya Tshs. Bilioni 27.6.




