• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

New Butiama Hapa kazi tu Yapokelewa kwa shangwe bandari ya Nansio.

Posted on: August 18th, 2020

Mamia ya wakazi wa Ukerewe wajitokeza kuipokea meli mpya ya Mv.Butiama hapa kazi ambayo imefanyiwa marekebisho makubwa baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi .

Akizungumza wakati akiitambulisha meli hiyo kwa wananchi wa wilaya ya Ukerewe ,  Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amesema hizo ni juhudi za Magufuli kwani anamkakati mkubwa wa kuikomboa  Ukerewe hivyo amewataka wananchi kuitumia meli hiyo kuzalisha ili kupandisha uchumi wao

"Ahadi hii ni ya Mhe. Rais Dkt. Magufuli alipokuwa anaomba kura mwaka 2015 japo kuwa hakufika huku lakini kila siku na alipokuwa anakuja Mwanza alikumbuka ahadi yake na leo amelipa deni lake hivyo visiwa 38 vitanufaika na usafiri huu "alieleza Mongella.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya hiyo Mhe .Cornel Magembe alisema watu wake wamefarijika baada ya kusikia mali yao imerejea baada ya kupotea kwa muda mrefu na kuongeza kuwa wilaya hiyo  ina boti mwendo kasi ambayo inatumia kubeba wagonjwa kwenda hospital ya Mwanza kwa muda wa nusu saa.

Aliongeza kuwa meli hiyo itafanya kazi siku zote bila kukumbwa na janga lolote na kupunguza muda wa wananchi kusafiri kutoka masaa manne hadi mawili pia katika eneo hilo wanazo meli kubwa mbili za serikali  ambazo zinatoa huduma na kuleta mafanikio katika kisiwa hicho.

" Kuna fedha  imetolewa tena  na Mhe.Rais Dkt. kwa ajili ya kutengeneza abulence boti mbili hivyo kufikia Disemba mwaka huu  zitakuwa zimefika eneo hilo kwa ajili ya kusaidia kubeba wagonjwa"alieleza Magembe.


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti