• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza yamfariji Naibu Waziri Mary Masanja

Posted on: July 11th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel ametoa rai kwa familia ya Mzee Masanja kuwa na subira na kumtumaini Mungu kama mfariji Mkuu kufuatia Kifo cha mzee Charles Masanja kilichotokea Julai 06, 2022 katika Hospitali ya Bugando kutokana na matatizo ya Moyo na kuzikwa katika kijiji cha Badugu-Busega Mkoani Simiyu tar 09, 2022.

Kwa majonzi makubwa Mhe Mkuu wa Mkoa ametoa ubani huo mapema leo nyumbani kwa Mzee Charles Masanja katika mtaa wa Kilimahewa Mjini Mwanza alipofika nyumbani hapo kutoa pole kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ambaye ni mwanafamilia, ndugu na jamaa.

"Poleni sana kwa msiba huu mzito, Mungu awape nguvu na faraja, niwasihi ninyi kama familia wenyewe muwe sehemu ya matumaini kupitia vikao vyenu na tumshukuru Mungu siku zote kwa uhai wa wazee hawa na muendelee kupendana." Mkuu wa Mkoa.

Naye, Mhe Mary Masanja, amemshukuru Mkuu wa Mkoa na viongozi wote Mkoani humo kwa Ushirikiano katika kipindi cha uhai wa mzee Masanja na hata wakati wa majonzi yalipowapata na amemtakia kheri katika kuuongoza Mkoa huo wenye vivutio lukuki vya utalii.

Aidha, Mhe Masanja ametoa pole kwa Mkoa kufuatia kuunguliwa Moto kwa Bweni la wanafunzi kwenye shule ya Sekondari ya wavulana Bwiru uliotokea mwishoni mwa mwezi Juni 2022 na amemtia moyo Mkuu wa Mkoa kuwa na ujasiri kupitia tatizo hilo huku akibainisha kuwa ofisi yake ipo pamoja nao.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti